Search form

YER. 2:2

2Enenda ukalie masikioni mwa Yerusalemu, ukisema, BWANA asema hivi,

Nakukumbuka, hisani ya ujana wako,

upendo wa wakati wa uposo wako;

Jinsi ulivyonifuata huko jangwani,

katika nchi isiyopandwa mbegu.

Swahili Union Version

Swahili Union Version (SUV): Copyright - 1952, 1997: Bible Society of Tanzania and Bible Society of Kenya. All rights reserved.

Swahili Union Version (SUV): Hakimiliki -1952, 1997: kwa: Chama cha Biblia cha Tanzania na Chama cha Biblia cha Kenya. Haki zote zimehifadhiwa.

More Info | Version Index